Ufafanuzi wa rumande katika Kiswahili

rumande

nominoPlural rumande

  • 1

    chumba maalumu katika gereza ambamo huwekwa mahabusu wanaongoja kupelekwa mahakamani au kumalizika kwa kesi zao.

    ‘Weka rumande’

Asili

Kng

Matamshi

rumande

/rumandɛ/