Ufafanuzi wa rumenya katika Kiswahili

rumenya

nomino

  • 1

    tendo la mwanamume kuhamia kwa mwanamke.

Matamshi

rumenya

/rumɛɲa/