Ufafanuzi wa rundika katika Kiswahili

rundika

kitenzi elekezi

  • 1

    weka vitu, wanyama au watu mahali pamoja bila mpango maalumu.

    tutika, tuta

  • 2

    rundika rumande weka korokoroni.

Matamshi

rundika

/rundika/