Ufafanuzi wa rundo katika Kiswahili

rundo

nominoPlural marundo

  • 1

    mkusanyiko wa vitu vingi pamoja au vikiwa mahali pamoja.

    ‘Rundo la karatasi’
    ‘Kuna rundo la takataka karibu na kituo cha basi’

Matamshi

rundo

/rundɔ/