Ufafanuzi wa rupia katika Kiswahili

rupia

nomino

  • 1

    kizamani sarafu yenye thamani ya shilingi mbili.

  • 2

    fedha ya nchi ya India.

Asili

Khi

Matamshi

rupia

/rupija/