Ufafanuzi wa rusa katika Kiswahili

rusa

kitenzi elekezi

  • 1

    bembeleza mwanamke ili mkajamiiane.

    tongoza

Matamshi

rusa

/rusa/