Ufafanuzi msingi wa rusu katika Kiswahili

: rusu1rusu2rusu3

rusu1

nomino

 • 1

  safu ya vitu vilivyopangwa kimoja juu ya kingine.

  ‘Zipange keki hizo katika rusu nane’

Asili

Kar

Matamshi

rusu

/rusu/

Ufafanuzi msingi wa rusu katika Kiswahili

: rusu1rusu2rusu3

rusu2

kitenzi elekezi

 • 1

  panga vitu, kimoja juu ya kingine.

Asili

Kar

Matamshi

rusu

/rusu/

Ufafanuzi msingi wa rusu katika Kiswahili

: rusu1rusu2rusu3

rusu3

nomino

 • 1

  mnyoo ambaye ni kimelea, anayepatikana kwenye uchango, hasa wa watoto.

Matamshi

rusu

/rusu/