Ufafanuzi wa ruzu katika Kiswahili

ruzu

kitenzi sielekezi

  • 1

    pungukiwa na fedha au mahitaji ya lazima.

Asili

Kar

Matamshi

ruzu

/ruzu/