Ufafanuzi wa ruzuna katika Kiswahili

ruzuna

nomino

  • 1

    dawa ya ugonjwa wa kukohoa au wazimu.

Asili

Kar

Matamshi

ruzuna

/ruzuna/