Ufafanuzi wa saa! katika Kiswahili

saa!

kiingizi

  • 1

    neno linaloonyesha kushangaa au kuhimiza mtu afanye jambo.

    ‘Sema saa’
    ‘Acha saa’

Asili

Kar

Matamshi

saa!

/sa:/