Ufafanuzi wa sabasi katika Kiswahili

sabasi

nominoPlural masabasi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutafuta habari za watu na kufitinisha watu.

Asili

Kar

Matamshi

sabasi

/sabasi/