Ufafanuzi msingi wa sachi katika Kiswahili

: sachi1sachi2

sachi1

nomino

Asili

Kng

Matamshi

sachi

/sat∫i/

Ufafanuzi msingi wa sachi katika Kiswahili

: sachi1sachi2

sachi2

kitenzi elekezi

  • 1

    pekua mtu au mahali anapokaa au kufanyia kazi ili kupata kitu kinachotafutwa baada ya kutolewa amri ya kisheria au ya serikali.

    speksheni

Asili

Kng

Matamshi

sachi

/sat∫i/