Ufafanuzi wa sadaka katika Kiswahili

sadaka

nominoPlural sadaka

Kidini
  • 1

    Kidini
    kitu au fedha ambazo hutolewa na mtu kuwapa wanaostahiki kwa ajili ya kupata thawabu kwa Mwenyezi Mungu.

  • 2

    Kidini

    tambiko, kafara, mviko, mviga, edaha

Asili

Kar

Matamshi

sadaka

/sadaka/