Ufafanuzi wa safa katika Kiswahili

safa

nominoPlural safa

  • 1

    aina ya kihero kikubwa kilichochimbika sana ambacho hutumika kuogea.

Asili

Kar

Matamshi

safa

/safa/