Ufafanuzi msingi wa safari katika Kiswahili

: safari1safari2

safari1

nominoPlural safari

 • 1

  tendo la kwenda mahali fulani ambapo ni mbali na pale mtu alipo.

  methali ‘Safari ni hatua’

Ufafanuzi msingi wa safari katika Kiswahili

: safari1safari2

safari2

nominoPlural safari

 • 1

  awamu za utendaji wa jambo.

  ‘Safari hii niachie mimi’
  ‘Hii ni safari ya pili timu hii kushindwa’

Asili

Kar

Matamshi

safari

/safari/