Ufafanuzi wa safi katika Kiswahili

safi

kivumishi

 • 1

  -siokuwa chafu.

  ‘Nguo hii imefuliwa na sasa ni safi’
  -eupe, nadhifu, angavu

 • 2

  ‘Nimelitenda kwa nia safi’
  ‘Moyo wangu u safi’
  -ema

 • 3

  -siokuwa na shaka au wasiwasi; -enye ukweli au hakika.

  ‘Hayo ndiyo maelezo safi ya jinsi mambo yalivyotukia’

Asili

Kar

Matamshi

safi

/safi/