Ufafanuzi wa safirisha katika Kiswahili

safirisha

kitenzi elekezi

  • 1

    peleka abiria au mizigo kwa gari, meli au ndege, n.k. kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Asili

Kar

Matamshi

safirisha

/safiriāˆ«a/