Ufafanuzi wa safisha katika Kiswahili

safisha

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa uchafu, agh. kwa maji.

    ‘Safishaana, safishaia, safishaiana, safishaika, safishaiwa, safishawa’
    takasa, futa, eua, zingua, pangusa, kulula

Asili

Kar

Matamshi

safisha

/safi∫a/