Ufafanuzi wa sahau katika Kiswahili

sahau

kitenzi elekezi

  • 1

    kosa kukumbuka.

    pitiwa, ghafilika, liliwala, futu

Asili

Kar

Matamshi

sahau

/sahawu/