Ufafanuzi msingi wa sahili katika Kiswahili

: sahili1sahili2

sahili1

kivumishi

 • 1

  -enye wepesi; -siyo nzito.

 • 2

  -siyo ngumu.

  rahisi

Asili

Kar

Matamshi

sahili

/sahili/

Ufafanuzi msingi wa sahili katika Kiswahili

: sahili1sahili2

sahili2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  fanya iwe -epesi; fanya isiwe ngumu.

  rahisisha

Asili

Kar

Matamshi

sahili

/sahili/