Ufafanuzi wa sahilisha katika Kiswahili

sahilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    wezesha kutendeka kwa jambo.

    rahisisha

Matamshi

sahilisha

/sahili∫a/