Ufafanuzi wa sai katika Kiswahili

sai

kitenzi elekezi~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~lia

  • 1

    fanya jambo ambalo litamkasirisha mtu hadi atake kupigana.

    chokoza

  • 2

    taka mtu ufanye naye mashindano; alika mtu kwenye mashindano.

Asili

Kar

Matamshi

sai

/saji/