Ufafanuzi wa saikolojia katika Kiswahili

saikolojia

nominoPlural saikolojia

  • 1

    elimu inayohusiana na ufahamu na utendaji kazi wa nafsi au akili ya mwanadamu.

Asili

Kng

Matamshi

saikolojia

/saIkɔlɔʄija/