Ufafanuzi wa saili katika Kiswahili

saili

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    taka kujua kwa kuuliza.

    hoji, uliza, dadisi

Asili

Kar

Matamshi

saili

/saIli/