Ufafanuzi msingi wa sairi katika Kiswahili

: sairi1sairi2sairi3sairi4

sairi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  sema na mtu kwa maneno mazuri kwa madhumuni ya kumtaka akubali kutimiza linalotarajiwa.

  bembeleza, rai, sihi

Matamshi

sairi

/saIri/

Ufafanuzi msingi wa sairi katika Kiswahili

: sairi1sairi2sairi3sairi4

sairi2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  pita kandokando ya upwa kwa chombo cha bahari k.v. jahazi.

Matamshi

sairi

/saIri/

Ufafanuzi msingi wa sairi katika Kiswahili

: sairi1sairi2sairi3sairi4

sairi3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  ponda au twanga kitu ndani ya kinu kwa kupigisha mchi sehemu za mbavuni mwa kinu.

Asili

Kar

Matamshi

sairi

/saIri/

Ufafanuzi msingi wa sairi katika Kiswahili

: sairi1sairi2sairi3sairi4

sairi4

nominoPlural sairi

Kidini
 • 1

  Kidini
  jina la moto mmojawapo kati ya mioto ambayo Waislamu wanaamini kwamba itakuwepo siku ya malipo.

Matamshi

sairi

/saIri/