Ufafanuzi wa saisi katika Kiswahili

saisi

nomino

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kuchunga au kuangalia wanyama wanaopandwa k.v. farasi au punda.

Asili

Kar

Matamshi

saisi

/saIsi/