Ufafanuzi msingi wa sajili katika Kiswahili

: sajili1sajili2sajili3

sajili1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  weka orodha ya kumbukumbu za watu au vitu kwa kuviandika katika daftari maalumu.

Asili

Kar

Matamshi

sajili

/saʄili/

Ufafanuzi msingi wa sajili katika Kiswahili

: sajili1sajili2sajili3

sajili2

nominoPlural sajil.i

 • 1

  matumizi ya lugha kulingana na muktadha.

  ‘Sajili ya lugha’
  rejesta

Asili

Kar

Matamshi

sajili

/saʄili/

Ufafanuzi msingi wa sajili katika Kiswahili

: sajili1sajili2sajili3

sajili3

nominoPlural sajil.i

 • 1

  daftari maalumu la orodha ya kumbukumbu za watu au vitu vilivyoandikwa.

Asili

Kar

Matamshi

sajili

/saʄili/