Ufafanuzi wa sajini katika Kiswahili

sajini

nominoPlural majini

  • 1

    askari mwenye cheo kilicho daraja moja zaidi kuliko koplo.

Asili

Kng

Matamshi

sajini

/saʄini/