Ufafanuzi wa sakafia katika Kiswahili

sakafia

kitenzi elekezi

  • 1

    pigilia k.v. mawe na mchanga na kutandaza saruji kwenye sehemu ya chini ya nyumba.

Asili

Kar

Matamshi

sakafia

/sakafija/