Ufafanuzi wa sakanya katika Kiswahili

sakanya

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~ana, ~isha, ~wa

  • 1

    tafuta kitu kilichopotea.

    saka

Matamshi

sakanya

/sakaɲa/