Ufafanuzi wa sakara katika Kiswahili

sakara

kitenzi sielekezi

  • 1

    pata uchovu mkubwa kutokana na joto, kiu, shibe au ulevi.

Matamshi

sakara

/sakara/