Ufafanuzi wa sakarani katika Kiswahili

sakarani

kivumishi

  • 1

    bila ya kuwa na akili timamu k.v. kutokana na ulevi.

    ‘Hali yake sakarani’

Matamshi

sakarani

/sakarani/