Ufafanuzi wa saki katika Kiswahili

saki

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shindwa kupenya au kupita mahali fulani k.v. kwenye tundu au mwanya mdogo.

    ‘Kizibo kimesaki’
    kwama

Asili

Kar

Matamshi

saki

/saki/