Ufafanuzi wa saksafoni katika Kiswahili

saksafoni

nominoPlural saksafoni

  • 1

    chombo cha muziki cha kupuliza ambacho hubadilishwa sauti kwa kubonyeza vifungo vyake.

Asili

Kng

Matamshi

saksafoni

/saksafɔni/