Ufafanuzi wa saladi katika Kiswahili

saladi

nominoPlural saladi

  • 1

    mchanganyiko wa mboga au matunda unaoliwa bila kupikwa.

    ‘Saladi ya mboga’
    ‘Saladi ya matunda’

  • 2

    aina ya mboga inayofanana na kabichi.

Asili

Kng

Matamshi

saladi

/saladi/