Ufafanuzi wa salama katika Kiswahili

salama

nominoPlural salama

  • 1

    hali ya kuweko na amani na utulivu.

    ‘Akitaka apate salama basi na afuate masharti haya’

Asili

Kar

Matamshi

salama

/salama/