Ufafanuzi wa salamati katika Kiswahili

salamati

nominoPlural salamati

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba iliyoko juu ya mlingoti wa chombo cha baharini k.v. jahazi.

Matamshi

salamati

/salamati/