Ufafanuzi wa salili katika Kiswahili

salili

nominoPlural salili

  • 1

    ndege kama bata mkubwa, mwenye mgongo mweupe.

  • 2

    bata mwitu.

    kotwe

Matamshi

salili

/salili/