Ufafanuzi wa salimini katika Kiswahili

salimini

kielezi

  • 1

    neno linalosisitiza kuweko kwa amani na utulivu.

    ‘Salama salimini’

Asili

Kar

Matamshi

salimini

/salimini/