Ufafanuzi wa salisha katika Kiswahili

salisha

kitenzi elekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    ongoza waumini katika sala au wakati wa ibada ya sala.

Asili

Kar

Matamshi

salisha

/saliāˆ«a/