Ufafanuzi msingi wa saliti katika Kiswahili

: saliti1saliti2

saliti1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  toa siri za nchi kwa adui wa nchi hiyo kwa lengo la kuihujumu.

 • 2

  toa mipango ya siri ya wenzako kwa watu wengine ili wenzako wakamatwe.

  fitini

Asili

Kar

Matamshi

saliti

/saliti/

Ufafanuzi msingi wa saliti katika Kiswahili

: saliti1saliti2

saliti2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  changanya pamoja.

  ‘Saliti unga na sukari’

Asili

Kar

Matamshi

saliti

/saliti/