Ufafanuzi wa salitika katika Kiswahili

salitika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    penda kitu au mtu sana kiasi cha kutojimudu wala kutokuwa na hiari.

    rengwa

Asili

Kar

Matamshi

salitika

/salitika/