Ufafanuzi wa saluni katika Kiswahili

saluni

nominoPlural saluni

  • 1

    duka la vipodozi na utengenezaji wa nywele.

Asili

Kng

Matamshi

saluni

/saluni/