Ufafanuzi wa saluti katika Kiswahili

saluti

nominoPlural saluti

  • 1

    ishara ya heshima anayoitoa askari aliyevaa mavazi yake rasmi kwa aliye mkubwa wake kwa cheo kwa kuinua mkono wa kulia na kuuleta kando ya jicho la kulia.

    kishoka

Asili

Kng

Matamshi

saluti

/saluti/