Ufafanuzi wa samadi katika Kiswahili

samadi

nominoPlural samadi

  • 1

    mavi ya wanyama, agh. wenye kucheua, ambayo hutumika kuwa mbolea.

    mbolea

Asili

Kar

Matamshi

samadi

/samadi/