Ufafanuzi wa samahani! katika Kiswahili

samahani!

kiingizi

  • 1

    tamko linalotumika kuomba radhi au kumtafadhalisha mtu.

    ‘Samahani Naomba kupita’
    kunradhi!

Asili

Kar

Matamshi

samahani!

/samahani/