Ufafanuzi wa samaki katika Kiswahili

samaki

nominoPlural samaki

  • 1

    kiumbe anayeishi ndani ya maji k.v. baharini, ziwani au mtoni mwenye mapezi na mkia, viungo ambavyo ndivyo vinavyomwezesha kwenda na hupumua kwa kutumia mashavu.

    methali ‘Samaki mmoja akioza, wote wameoza’
    somba, nswi, isi

Matamshi

samaki

/samaki/