Ufafanuzi wa samawari katika Kiswahili

samawari

nominoPlural samawari

  • 1

    chombo kirefu cha udongo au bati kinachotumiwa kuchemshia maji na chenye nafasi ya kutilia makaa chini.

Matamshi

samawari

/samawari/