Ufafanuzi wa samawati katika Kiswahili

samawati

nominoPlural samawati

  • 1

    rangi ya mbingu inavyoonekana wakati haina mawingu; buluu hafifu.

Asili

Kar

Matamshi

samawati

/samawati/