Ufafanuzi wa sambaa katika Kiswahili

sambaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    enea kila mahali.

    ‘Nzige wamesambaa nchi nzima’
    tapakaa, zagaa, tangaa

Matamshi

sambaa

/samba:/